Programmes Available

I humbly invite you to study at Tumaini University Makumira and that you will enjoy being at our University. I furthermore hope that you will be able to fully focus on your studies with the necessary intensity. The years ahead of you are of extreme importance concerning academic development.
Tumaini University Makumira (TUMa) is a Christ-Centered University focusing all its programs through the guidance of and obedience to the word of God by conducting and promoting higher education, learning, and research, through scientific fact-finding and esquires to all students without any form of discrimination.
Almanac 2022-2024 |
Prospectus 2021-2024 |
Tuma Fee Structure |
POLICIES, GUIDELINES & TOOLSTuma Research Manual & ToolsRegulations for Postgraduate Research |
OSIM |
CAC |
![]() |
Application Window for Certificate, Diploma, Degree & Postgraduate is now open |
---|---|
![]() |
LIST OF STUDENTS WITH SINGLE SELECTION |
![]() |
LIST OF STUDENTS WITH MULTIPLE SELECTION |
![]() |
NECTA’s CALL FOR ABSTRACTS |
![]() |
JOB VACANCIES SEPTEMBER |
![]() |
SPECIAL EXAMINATION TIMETABLE |
![]() |
Mwalimu Nyerere Day |
![]() |
Tanzania Independence Day |
![]() |
Christmas Day |
![]() |
Boxing Day |
News & Updates
SALAMU ZA SHUKRANI
Menejementi, Wafanyakazi na Jumuiya nzima ya Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira tunakushukuru sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kufungua Maabara za Sayansi chuoni kwetu. Tunakutakia kila la heri na kukuombea kwa Mungu katika utendaji wa majukumu yako ya kujenga Taifa.
KUFUNGULIWA MAABARA ZA SAYANSI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungua kitambaa pamoja na Maaskofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) kuashiria ufunguzi rasmi wa Maabara za Sayansi za Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira.
UJIO WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
Wafanyakazi wa Chuo kikuu cha Makumira wakiwa kwenye picha ya pamoja tayari kwa kumpokea Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye amefika kuzindua Maabara za Sayansi za Chuo Kikuu cha Makumira.
MAONYESHO YA 18 YA VYUO VIKUU
Chuo kikuu cha Tumaini Makumira kimefanikiwa kushiriki katika maonesho ya 18 ya vyuo vikuu na vya kati yanayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 17-22 Julai 2023. Karibu upate taarifa za programu zetu na maombi ya udahili.
MOOT COURT SESSION IN MAKUMIRA
UFUNGUZI WA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI
Wafanyakazi na wanafunzi kutoka chuo kikuu cha Tumaini Makumira,wameshiriki katika ufunguzi wa wiki ya siku ya Kiswahili Duniani kwa kukimbia mbio za Marathon zilizofanyika leo tarehe 01.07.2023. Mbio hizo zilianzia viwanja vya nanenane na mgeni rasmi alikuwa Naibu Waziri wa Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Hamis Mwinjuma