vice chancellor

I humbly invite you to study at Tumaini University Makumira and that you will enjoy being at our University. I furthermore hope that you will be able to fully focus on your studies with the necessary intensity. The years ahead of you are of extreme importance concerning academic development.

Tumaini University Makumira (TUMa) is a Christ-Centered University focusing all its programs through the guidance of and obedience to the word of God by conducting and promoting higher education, learning, and research, through scientific fact-finding and esquires to all students without any form of discrimination.

Upcoming Events
29 Nov Convocation Day
30 Nov Graduation Day
9 Dec Independence Day
25 Dec Christmas Day
26 Dec Boxing Day
1 Jan New Year 2025
12 Jan Zanzibar Revolution Day

 

News & Updates

TUMAINI UNIVERSITY MAKUMIRA INNOVATION DAY

 

On May 25th Innovation Day was celebrated at Tumaini Makumira University, where the guest of honor was Vice Chancellor Prof. Joseph Parsalaw. The Vice Chancellor inspected various projects by students, including numerous innovations undertaken by the university’s students. Additionally, the Vice Chancellor encouraged the students for their efforts and advised them to continue being even more innovative for the better future.

UFUNGUZI WA MPANGO MKAKATI CHUO KIKUU MAKUMIRA

 

Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Malasusa ambaye ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira pamoja na Rais wa Fungamano la Makanisa ya Kilutheri Duniani (LWF) Askofu Henrik Stubkjaer wakikata utepe katika ufunguzi wa Mpango Mkakati wa chuo kikuu cha Tumaini Makumira uliofanyika tarehe 16 .04.2024 chuoni hapo.

SALAMU ZA SHUKRANI

Menejementi, Wafanyakazi na Jumuiya nzima ya Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira tunakushukuru sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kufungua Maabara za Sayansi chuoni kwetu. Tunakutakia kila la heri na kukuombea kwa Mungu katika utendaji wa majukumu yako ya kujenga Taifa.

KUFUNGULIWA MAABARA ZA SAYANSI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungua kitambaa pamoja na Maaskofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) kuashiria ufunguzi rasmi wa Maabara za Sayansi za Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira.

UJIO WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

Wafanyakazi wa Chuo kikuu cha Makumira wakiwa kwenye picha ya pamoja tayari kwa kumpokea Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye amefika kuzindua Maabara za Sayansi za Chuo Kikuu cha Makumira.

UFUNGUZI WA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI

Wafanyakazi na wanafunzi kutoka chuo kikuu cha Tumaini Makumira,wameshiriki katika ufunguzi wa wiki ya siku ya Kiswahili Duniani kwa kukimbia mbio za Marathon zilizofanyika leo  tarehe 01.07.2023. Mbio hizo zilianzia viwanja vya nanenane na mgeni rasmi alikuwa Naibu Waziri wa  Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Hamis Mwinjuma