vice chancellor

I humbly invite you to study at Tumaini University Makumira and that you will enjoy being at our University. I furthermore hope that you will be able to fully focus on your studies with the necessary intensity. The years ahead of you are of extreme importance concerning academic development.

Tumaini University Makumira (TUMa) is a Christ-Centered University focusing all its programs through the guidance of and obedience to the word of God by conducting and promoting higher education, learning, and research, through scientific fact-finding and esquires to all students without any form of discrimination.

Upcoming Events

29 Mar

Good Friday
31 Mar Easter Sunday
01 Apr Easter Monday
07 Apr Karume Day
26 Apr Union Day

 

News & Updates

SALAMU ZA SHUKRANI

Menejementi, Wafanyakazi na Jumuiya nzima ya Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira tunakushukuru sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kufungua Maabara za Sayansi chuoni kwetu. Tunakutakia kila la heri na kukuombea kwa Mungu katika utendaji wa majukumu yako ya kujenga Taifa.

KUFUNGULIWA MAABARA ZA SAYANSI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungua kitambaa pamoja na Maaskofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) kuashiria ufunguzi rasmi wa Maabara za Sayansi za Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira.

UJIO WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

Wafanyakazi wa Chuo kikuu cha Makumira wakiwa kwenye picha ya pamoja tayari kwa kumpokea Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye amefika kuzindua Maabara za Sayansi za Chuo Kikuu cha Makumira.

MAONYESHO YA 18 YA VYUO VIKUU

Chuo kikuu cha Tumaini Makumira kimefanikiwa kushiriki katika maonesho ya 18 ya vyuo vikuu na vya kati yanayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 17-22 Julai 2023. Karibu upate taarifa za programu zetu na maombi ya udahili.

UFUNGUZI WA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI

Wafanyakazi na wanafunzi kutoka chuo kikuu cha Tumaini Makumira,wameshiriki katika ufunguzi wa wiki ya siku ya Kiswahili Duniani kwa kukimbia mbio za Marathon zilizofanyika leo  tarehe 01.07.2023. Mbio hizo zilianzia viwanja vya nanenane na mgeni rasmi alikuwa Naibu Waziri wa  Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Hamis Mwinjuma