Mar 24, 2026
Tumaini Makumira yashiriki katika kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani
Wanafunzi na wafanyakazi wa Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira walishiriki katika Kongamano la 5 la Idhaa za Kiswahili Duniani lililoandaliwa na Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA).
